Be the first to joseverest

Be the first to joseverest

Joseverest uko wapi rafiki yangu nakukubali sana aisee njoo huku ila kwa ufupi Ruttashobolwa huyu mtu wa kuitwa Joseverest ni mtu mtulivu hata akitukanwa anajibu kwa hekima na ni mtulivu na mstaarabu
Avatar yake ni nzuri kwa muonekano wake na mengine mengi
Uko sahihi, jamaa ni mstaarabu sana. Sijawahi ona ametumia lugha kali anapo jibu kitu. Hana lugha za kuudhi kabisa. Inaelekea ni mpole Sana. Namkubali sana.
 
Back
Top Bottom