They always do not know what they want.women!
Nimecheka pale mke anapogeuka kuwa mchepuko.
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mshindi nani hapo.. Sasa..aiseeehh!mbona kama anajikomeshaa
Halafu hawaachani labda uje kua tena main chickAkili nyingine haki ya nani.
Hapo mwenyewe anaona anamkomoa side-chick aliyecheat na mume wake wakati mwenzake kaweka ndani mwanaume.