Tupe nyimbo mbili alizozitendea haki katika beat.Ni hayo tu lakin bea ni noma jamaa ana ana mabeet ya hatar kama ya mbele vile
Aman iwe nanyi wapendwa
Kwasisi tunaofuatilia midundo ya mziki huwa tuna dil sana na watayalishaji wa hizo midundo, kwa maono yangu ninavyoona kuna anguko kubwa sana la jamaa yangu t touchiiiiii, na atakayenda kuchukua nafas yake ni ni bea
Bea anakuja vizur sana kwa kutengeneza midundo kwa sasa huyu jamaa yuko pale kili record
Kitu kingine kitakachomwangusha mr t ni zalau ambazo kaanza kuzionesha kwa wasanii baada ya kujiona yuko juu
Ni hayo tu lakin bea ni noma jamaa ana ana mabeet ya hatar kama ya mbele vile
CC MBITIYAZA
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Aje Mwenyewe - Billnass, Young Killer & StaminaTupe nyimbo mbili alizozitendea haki katika beat.
1. Aje Mwenyewe - Billnass, Young Killer & Stamina
2. Love Me - Stamina
Anasema Bea ( Bear ). Ni Prodyucer siyo Mbeya.Ni wa Mbeya huyo jamaa? Maana nasikia Mbeya inatajwa mwanzoni mwa nyimbo zake
Out of topic
Hiv wewe na MBITIYAZA mna uhusiano gani mkuu maana kila unapopost ki2 lazme kuwe na signature yake chini!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay...tupo kwenye mahusiano mazito sana mkuu ! mshenga ni donlucchese
Okay...
Nikutakieni kila la kheri katika mahusiano yenu...
[HASHTAG]#MBITIYAZA[/HASHTAG] & BABY BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema wabongo tuna chuki na watu waliofanikiwaETI AMEANZA DHARAU KWA WASANII...ULIKUWEPO AU MANENO YA KUSIKIA??
"Alipoianza safariiiii,walimtia moyoooo;alipoonesha mafanikio,vikainuka vikwazooooo"
wivu wivu wivu