Kabichi namuuzia Nani Unguja huku? Au unataka Wakulungwa walete noma?Kauze kabichi wewe utakufa na njaa ukiendelea kusubiri ma bibi wa kizungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni zamu yenu kwenda Italy sasaKulingana na janga sisi ma-beach boy tunaotegemea utalii (mabibi wa kizungu). Tunaumbuka maana hatuna ujanja zaidi ya kutulia home na kunyoa Rasta. Tunaumbuka peupe. Nitaweka uso wangu wapi nikimaliza Akiba yangu ya mwisho hii 50 USD niliopewa na bibi wa Kiitaliano alipokuja Nungwi nikasimamia show vizuri.
Eeh. Ngoja tukale Idd Unguja sieNdugu utaliii siumefunguliwa?.mbona JAMBIANI Hapo kunajaza tu sheikh
Sex instruments za wazungu!Maisha ya ajabu sana haya, yaani unasimamia show tena kwa bibi ndiyo upate pesa yakuishi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikataa shule, Sasa kinatupataMaisha ya ajabu sana haya, yaani unasimamia show tena kwa bibi ndiyo upate pesa yakuishi??
Sent using Jamii Forums mobile app
OkayNi zamu yenu kwenda Italy sasa