Kulingana na janga sisi ma-beach boy tunaotegemea utalii (mabibi wa kizungu). Tunaumbuka maana hatuna ujanja zaidi ya kutulia home na kunyoa Rasta. Tunaumbuka peupe. Nitaweka uso wangu wapi nikimaliza Akiba yangu ya mwisho hii 50 USD niliopewa na bibi wa Kiitaliano alipokuja Nungwi nikasimamia show vizuri.