Beach Boys tunaumbuka Zenji, Wazungu hawaji


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1317]Tafuta msikiti usali baba, umefanya maasi mengi kwa show
 
Hawa mabibi wa Kizungu wengine wanarudi kwao na magonjwa ya ajabu kutokana na mambo wanayoyafanya wakiw holiday. Kuna mmoja alikutwa na gwasuma na mume wake alifariki kama miaka 10 iliyopita. Alikwenda Gambia akakutana na beach boy huko miaka minne iliyopita.
 
Gwasuma ndo nn?
 
wakodisha miili hamna tofauti na machangudoa. siku mabibi wakikosekana na wakipatikana ma babu mtasirwaa. fanyeni kazi
 
Njoo huku Bongo maeneo ya Makumbusho na Mwenge uwe unawapaka rangi za kucha dada zetu na kusokota dredi. Unaweza ujapata jimama la kukulea, ukapewa Iphone macho 3 na Usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…