BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Wadau,
Leo nataka kwenda kuogelea lakini bado nafikiria niende beach gani, leo ni weekend na shule zimefungwa hivyo beach kama Jangwani Sea Breeze na Kundunchi zinakuwa na watoto wengi na beach za kigamboni sipo interested nazo kabisa.
Naombeni mawazo yenu, beach gani inafaa kwa ukanda wa Mbezi Beach.

Bahari Beach mpango mzima, kama unataka kuwaona kina benpaul rubii nenda mbalamwezi
kwani amekwambia anataka kuogelea au kuona vitu vya kijinga
Vitu vya kijinga ni pamoja na kuparamia mambo yasiyokuhusu, kwani umejibiwa wewe?
Wadau,
Leo nataka kwenda kuogelea lakini bado nafikiria niende beach gani, leo ni weekend na shule zimefungwa hivyo beach kama Jangwani Sea Breeze na Kundunchi zinakuwa na watoto wengi na beach za kigamboni sipo interested nazo kabisa.
Naombeni mawazo yenu, beach gani inafaa kwa ukanda wa Mbezi Beach.
Mmmh mnadhani kila mtu ana shobo na hao unaowatajaBahari Beach mpango mzima, kama unataka kuwaona kina benpaul rubii nenda mbalamwezi
nakutafuta sana Rubii
Mmmh mnadhani kila mtu ana shobo na hao unaowataja
Dunia ina watu wengi
We dada huwa una fikiria sana napendaga akili zakoNakatika hao watu wengi usitake wote wawe na mtazamo kama wakwo!