Beach nzuri ya kwenda kuogelea leo

Beach nzuri ya kwenda kuogelea leo

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wadau,

Leo nataka kwenda kuogelea lakini bado nafikiria niende beach gani, leo ni weekend na shule zimefungwa hivyo beach kama Jangwani Sea Breeze na Kundunchi zinakuwa na watoto wengi na beach za kigamboni sipo interested nazo kabisa.

Naombeni mawazo yenu, beach gani inafaa kwa ukanda wa Mbezi Beach.
 
Nenda Rungwe Beach au Bahari Beach zote zipo ukanda wa Kunduchi.
 
Nenda coco beach, kumuunga mkono magufuli.

Kama mchoyo nenda ramada resort, ipo huo ukanda wa giraffe hotel.
 
Wadau,

Leo nataka kwenda kuogelea lakini bado nafikiria niende beach gani, leo ni weekend na shule zimefungwa hivyo beach kama Jangwani Sea Breeze na Kundunchi zinakuwa na watoto wengi na beach za kigamboni sipo interested nazo kabisa.

Naombeni mawazo yenu, beach gani inafaa kwa ukanda wa Mbezi Beach.

Aisee kama ni watoto wapeleke Kunduchi Wet&Wild ama fun city kule watafurahi na michezo ya kwenye maji hata wewe utacheza nao ukiwa pamoja.Ila kuna kiingilio na mwisho wa juma kuna kuwa na watu wengi pia gharama ya chakula ipo juu.Waweza chukua likizo hasa siku ya jumatatu pale Kunduchi Wet&Wild gharama huwa chini na hakuna vurugu utafarijika na kuchezea maji na watoto na familia bila bughudha!
 
Wadau,

Leo nataka kwenda kuogelea lakini bado nafikiria niende beach gani, leo ni weekend na shule zimefungwa hivyo beach kama Jangwani Sea Breeze na Kundunchi zinakuwa na watoto wengi na beach za kigamboni sipo interested nazo kabisa.

Naombeni mawazo yenu, beach gani inafaa kwa ukanda wa Mbezi Beach.

nenda ferry mbele ya ikulu
 
Bahari Beach mpango mzima, kama unataka kuwaona kina benpaul rubii nenda mbalamwezi
 
nenda Dege Beach karibu na Msoga kule ni tulivu sana.. Hakuna mapashkuna wala makahaba.. Ukiona Vipi kuja Ukanda wa Kigamboni hasa kuanzia Sunrise, kipepeo, kijiji,south, amani, mikadi, chabibwa, baracuda na Funy City nadhani utaburudika
 
Wadau,

Leo nataka kwenda kuogelea lakini bado nafikiria niende beach gani, leo ni weekend na shule zimefungwa hivyo beach kama Jangwani Sea Breeze na Kundunchi zinakuwa na watoto wengi na beach za kigamboni sipo interested nazo kabisa.

Naombeni mawazo yenu, beach gani inafaa kwa ukanda wa Mbezi Beach.

Wewe nenda South Beach ipo shwari sana ama Kama vipi nenda three Hinlton beach masaki
 
Back
Top Bottom