We dada huwa una fikiria sana napendaga akili zako
Nenda coco beach, kumuunga mkono magufuli.
Kama mchoyo nenda ramada resort, ipo huo ukanda wa giraffe hotel.
Vitu vya kijinga ni pamoja na kuparamia mambo yasiyokuhusu, kwani umejibiwa wewe?
Nipo ndugu yangu, za masiku mengi
Nzuri tu, habari ya kupotea bibie
Njema tu kipenzi. Mwandani wako ajambo eh
aisee kipenzi changu sijafanikiwa mwenzio bado natafuta
Wadau,
Leo nataka kwenda kuogelea lakini bado nafikiria niende beach gani, leo ni weekend na shule zimefungwa hivyo beach kama Jangwani Sea Breeze na Kundunchi zinakuwa na watoto wengi na beach za kigamboni sipo interested nazo kabisa.
Naombeni mawazo yenu, beach gani inafaa kwa ukanda wa Mbezi Beach.
Yote heri tu ndugu Mungu anakuandalia wakufanana nawewe
Mimi nimefanana na wewe....
Ah ni kweli hata mie nimeona!
naomba kufaham ni beach gani naweza kupata zile bike za kwenye maji? ni kama boat ndogo ivi yani natamani sana ku ride hizo boat. na gharama zake za kuendesha kwa lisaa zikoje?? anyone please!!
Twende beach unifunze kuogolea