Beach nzuri ya kwenda kuogelea leo

Beach nzuri ya kwenda kuogelea leo

Sijui uwa nina mawazo gani? Nikiona uzi kama huu nawaza mleta uzi ana umri gani? Yuko yukoje? Basi nawaza wenda mwanachuo kama 20, nacheka kidogo nasema ok huyo umri unaruhusu.

Basi kwa upande wa pili nawaza navuta picha ya mtu fulani body structure yake anaweza kwenda beach na aogelee? No , ikitokea akaenda basi atakaa tu.

Basi nawaza hili rika la watu fulani(wanaume) huwa wanaenda wap? Wanaendaga sehemu fulani. Je wanafanyaga nini? Wanakunywaga wanakula wanafurahi wanasepa. Maisha bana ni matamu kuleni ujana.

Note. Msinielewe vibaya beach wanaendaga umri wowote. Basi tu nilikuwa nawaza watu fulani. Nice sunday.
 
Wadau,

Leo nataka kwenda kuogelea lakini bado nafikiria niende beach gani, leo ni weekend na shule zimefungwa hivyo beach kama Jangwani Sea Breeze na Kundunchi zinakuwa na watoto wengi na beach za kigamboni sipo interested nazo kabisa.

Naombeni mawazo yenu, beach gani inafaa kwa ukanda wa Mbezi Beach.

Kwa tabia zako siwezi kuchangia nawe dhambi. Hukawii kufanya hovyo, fanya mazoezi unaweza kupata msamaha TFF ni wasikivu.
 
Vitu vya kijinga ni pamoja na kuparamia mambo yasiyokuhusu, kwani umejibiwa wewe?

Tafadhali sana rubii huyo mtoa mada mwenyewe anaitwa NYOSSO hivyo msimchukulie dhamana.
 
Last edited by a moderator:
naomba kufaham ni beach gani naweza kupata zile bike za kwenye maji? ni kama boat ndogo ivi yani natamani sana ku ride hizo boat. na gharama zake za kuendesha kwa lisaa zikoje?? anyone please!!
 
naomba kufaham ni beach gani naweza kupata zile bike za kwenye maji? ni kama boat ndogo ivi yani natamani sana ku ride hizo boat. na gharama zake za kuendesha kwa lisaa zikoje?? anyone please!!

Southbeach nenda
 
Back
Top Bottom