Southbeach nenda
Nenda white send
Yote heri tu ndugu Mungu anakuandalia wakufanana nawewe
asante mkuu hivi ipo exactly sehem gani? je unajua garama za kuendesha /kukodi hizo boat?
za xmas mkuu John mitazamo, vipi mlejesho wa Maria na mtoto wa chuo?Mmmh mnadhani kila mtu ana shobo na hao unaowataja
Dunia ina watu wengi
Mkuu fun city kiingilio ni bei gani kwa watoto na watu wazimaAisee kama ni watoto wapeleke Kunduchi Wet&Wild ama fun city kule watafurahi na michezo ya kwenye maji hata wewe utacheza nao ukiwa pamoja.Ila kuna kiingilio na mwisho wa juma kuna kuwa na watu wengi pia gharama ya chakula ipo juu.Waweza chukua likizo hasa siku ya jumatatu pale Kunduchi Wet&Wild gharama huwa chini na hakuna vurugu utafarijika na kuchezea maji na watoto na familia bila bughudha!
nataka jibu hapaMkuu fun city kiingilio ni bei gani kwa watoto na watu wazima
nakutafuta sana Rubii