Beach nzuri ya kwenda kuogelea leo

Beach nzuri ya kwenda kuogelea leo

Aisee kama ni watoto wapeleke Kunduchi Wet&Wild ama fun city kule watafurahi na michezo ya kwenye maji hata wewe utacheza nao ukiwa pamoja.Ila kuna kiingilio na mwisho wa juma kuna kuwa na watu wengi pia gharama ya chakula ipo juu.Waweza chukua likizo hasa siku ya jumatatu pale Kunduchi Wet&Wild gharama huwa chini na hakuna vurugu utafarijika na kuchezea maji na watoto na familia bila bughudha!
Mkuu fun city kiingilio ni bei gani kwa watoto na watu wazima
 
Back
Top Bottom