Beach Plot Kigamboni Buyuni inauzwa,Nina Shida sitaki Dalali wakuu!

Beach Plot Kigamboni Buyuni inauzwa,Nina Shida sitaki Dalali wakuu!

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
WanaJF nimepata Matatizo hivyo nimeamua kuuza Shamba langu lililoko Beach Kigamboni eneo la Buyuni upande wa Baharini jirani kabisa na Bahari,Nimezungukwa na Wahindi na wameshaweka Fensi za Seng'enge,Ukubwa ni Heka Mbili na Robo tatu almost heka tatu,Shamba ni langu mwenyewe nalimiliki kihalali,sitaki dalali ajiingize humu,niko tayari kwenda kokote mnunuzi atakapotaka kumthibitishia kabla hajanunua,Bei ya Mwisho ni Milioni 14,Shamba liko sehemu nzuri sana upande wa Baharini na liko salama halina Mgogoro wowote,kwa wanaohitaji mawasiliano yangu ni 0715979498,TAFADHALI PIGA KWA MAZUNGUMZO YA BIASHARA YA SHAMBA HILI TU.Nawashukuru.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu ungeomba wakuhamishie kule jukwaa la matangazo ,humu watu wanamistress ya ajira eti! Kule waweza pata wateja.
 
Back
Top Bottom