Beach Soccer, Copa Dar-2018: Tanzania yatwaa ubingwa katika michuano hiyo baada ya kuichapa Uganda

Beach Soccer, Copa Dar-2018: Tanzania yatwaa ubingwa katika michuano hiyo baada ya kuichapa Uganda

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Timu ya mpira wa miguu wa Ufukweni ya Tanzania imetwaa ubingwa wa michuano maalum ya Beach Soccer ya Copa Dar Es Salaam 2018 baada ya kuichapa Uganda 2-1 kwenye mchezo wa fainali

Nafasi ya tatu imekwenda kwa Shelisheli ambayo imeifunga Malawi kwa penati 4-3 baada ya sare ya mabao 8-8

Tanzania inachukua ubigwa ikiwa inajiandaa na michuano ya AFCON ya Ufukweni yatakayoanza kutimua vumbi Desemba mwaka huu nchini Misri

Michuano hiyo ilikuwa inafanyika jijini Dar katika uwanja wa Coco Beach ikihusisha nchi nne za Tanzania, Uganda, Malawi na Seychelles(Shelisheli)

1.jpg
 
Back
Top Bottom