milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Kwa wapenzi wa Mpira lile beat ambalo linaanza wakati kipindi cha Mpira kinaanza au Mechi aisee lina mzuka sana na hasa kama timu yako ndo inaanza mechi unaisubiria ni balaa wenzetu wanajua aisee sijui kama TFF wana beat lolote lile kama hili la EPL ambalo naliongelea.