Beat Kali sana la EPL unaleta mzuka

Beat Kali sana la EPL unaleta mzuka

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,469
Reaction score
1,166
Kwa wapenzi wa Mpira lile beat ambalo linaanza wakati kipindi cha Mpira kinaanza au Mechi aisee lina mzuka sana na hasa kama timu yako ndo inaanza mechi unaisubiria ni balaa wenzetu wanajua aisee sijui kama TFF wana beat lolote lile kama hili la EPL ambalo naliongelea.
 
hakuna kitu,, haina vibe wala nn,,, bora niendelee kuweka katchua iwe ringtone yangu
 
Kwa wapenzi wa Mpira lile beat ambalo linaanza wakati kipindi cha Mpira kinaanza au Mechi aisee lina mzuka sana na hasa kama timu yako ndo inaanza mechi unaisubiria ni balaa wenzetu wanajua aisee sijui kama TFF wana beat lolote lile kama hili la EPL ambalo naliongelea.

TFF pia wanalo waliimba sijui Tundaman na nani sijui watajijua wenyewe.

Mzungu mzungu tu aisee acha kabisa.
 
TFF- TANZANIA FOOTBALL FAILURE, sasa mkuu ulikuwa unataka nini?
 
Kwa wapenzi wa Mpira lile beat ambalo linaanza wakati kipindi cha Mpira kinaanza au Mechi aisee lina mzuka sana na hasa kama timu yako ndo inaanza mechi unaisubiria ni balaa wenzetu wanajua aisee sijui kama TFF wana beat lolote lile kama hili la EPL ambalo naliongelea.
Aisee ninayo hiyo yaani huwa nikiamua naisikiliza tu. Kuna kipindi niliiweka kama ringtone
 
Back
Top Bottom