milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Linaitwaje na Mimi nidownload?Mimi mpaka nimelidownload ndio ringtone ya "tecno" yangu
Epl introLinaitwaje na Mimi nidownload?
Weka humu mkuu hio songMimi mpaka nimelidownload ndio ringtone ya "tecno" yangu
Tuwekee tu humu kakaEpl intro
Liweke humuMimi mpaka nimelidownload ndio ringtone ya "tecno" yangu
Asisahau na lyrics kabisaTuwekee tu humu kaka
Kwa wapenzi wa Mpira lile beat ambalo linaanza wakati kipindi cha Mpira kinaanza au Mechi aisee lina mzuka sana na hasa kama timu yako ndo inaanza mechi unaisubiria ni balaa wenzetu wanajua aisee sijui kama TFF wana beat lolote lile kama hili la EPL ambalo naliongelea.
Aisee ninayo hiyo yaani huwa nikiamua naisikiliza tu. Kuna kipindi niliiweka kama ringtoneKwa wapenzi wa Mpira lile beat ambalo linaanza wakati kipindi cha Mpira kinaanza au Mechi aisee lina mzuka sana na hasa kama timu yako ndo inaanza mechi unaisubiria ni balaa wenzetu wanajua aisee sijui kama TFF wana beat lolote lile kama hili la EPL ambalo naliongelea.