Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
Leo nilikuwa naangalia kaseti ya picha (video) ya kwaya ya Shangalieni ya Arusha nikamuona huyu dada akianzisha wimbo huku akiimba kwa hisia (ukipenda katika roho na kweli). Ukiamuangalia alivyokuwa amevaa, nywele zake na muonekano wake hutasita kusema hakika huyu ni mtumishi wa bwana.
Hapo hapo nikachukua VCD yake (nafikiri kapigia picha Uganda) akiwa mwimbaji binafsi nikaangalia alivyovaa, alivyoweka urembo sura yake, nywele zake, anavyoimba, bila ubishi nikasema huyu dada lazima kuna mabadiliko katika maisha yake ya kiroho- yaani amerudi nyuma huihitaji kuwa na karama ya maarifa kubaini hilo.
Dada Beatice nakuomba rudia enzi yako ambapo ulikuwa ukiimba tunabarikiwa sana- nini kimempata huyu dada?