Beatrice Mwaipaja

Joannah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2020
Posts
20,921
Reaction score
49,014
Jamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...

Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....

Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso

Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…