Beatrice Mwaipaja

Beatrice Mwaipaja

Hivi unaelewa ninachozungumzia Mimi?Mimi sijaongelea utunzi hapa,Mimi nimesifia uumbaji,ningetaka kusifia watunzi ningewataja hao unaowataka wewe........na nimesema mwanzo kabisa ananifurahisha ambavyo haongezi neno kwenye Tenzi wala habadilishi original tunes.
Narudia tena hata kama una jaziba za kipuuzi, hakunaga kama Muhando

Ova
 
Waimbaji wengi wa kibongo siwalewi Huwa wanaimba nn yaani nyimbo ziko wrong theological
 
Back
Top Bottom