Beatrice Mwaipaja

Ana nyingine kali inaenda kwa jina la "bwana Yesu uko wapi"
Mtu yeyote anayepitia magumu, achukue huu wimbo. Ajifungie ndani, aweke sauti ndogo pasipo na kelele.

Aimbe na Beatrice, afunge macho. Imba kwa imani, lia kwa uchungu na mwisho wa wimbo omba kwa imani. Mungu atakujibu immediately.

Malizia na wimbo wa Tufani linapovuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…