Beautiful people are 'selfish by nature'

Si ndio hata magazeti yao sijui vogue.....eti 100most beautiful girls in the world???? wameenda huko lugoba au chanika?au hata kuchukua nchi zingine za afrika?

Americans are known for being conservatives. Hivi wamewahi kufika Babati kwa Wambulu, Kondoa kwa Warangi au Sikonge kwa Wanyamwezi? Halafu kuna ka nchi kadogo tu kanaitwa Rwanda, kuna wanawake warembo usipime. Ethiopia je?

Halafu kuna visiwa vya FIJI...Huko wakati biashara ya utumwa inapigwa marufuku, baadhi ya meli zilizokuwa baharini na watumwa wa kutoka Afrika zilikwenda na kuwabwaga pale. Wakakutana wa wenyeji wa hapo, wakaanza kuzaana kwa damu mchanganyiko. Yaani usipime, kuna watu wazuri humu duniani. Halafu wanazungumzia Hollywood, Hollywood my foot!

Ama kweli hawa jamaa wanacheza. Wanaambiwa tembea uone, hawataki! Kuna sehemu humu duniani kuna ''uumbaji uliotulia na kutukuka''.
 
Bearing in mind the beautiful ones are not yet born anyway. Sijui wakizaliwa itakuwaje.

I thought this is just a proverb(!?)...Forget about Cleopatra, kuna mwanamke anaitwa Aishwarya-Rai wa Bollywood; you can google her!
 
Kuna ukweli unasimama ktk hizo tafiti...maandiko yanasema lucifer(shetani) alikuwa mzuri wa sura na alidhamiria kujiinua(ubinafsi) hata afike sehemu ya Mungu..kilichomkuta tunajua..Mfalme Sauli alikuwa mzuri ktk waisrael woote (akakaidi maagizo) Mungu alimkataa na kumpa ufalme Daudi, Baba wa Taifa alituasa kuhusu kuchagua viongozi kwa sura nzuri..leo tunajua alimaanisha nini babu yule..kiburi(ubinafsi) cha uzuri kinawasumbua wengi..hasa wasipo jitambua/kufundishwa kuishi na uzuri wao.
 
I do agree with the study... but when it comes to justifications to

too scientific... which according to me play a small part....
 

Mie huwa wananikera sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…