Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,133
why??
are you one of the beautifull people??????
Cmon!! I disagree ..Its a distabance ? .. Yes Why should one be selfish just bcause of the beuty etc... Thats al what it impllies!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
why??
are you one of the beautifull people??????
So, you're beautiful and selfish by nature to the extent that it disturbs you?
... I guess you r right!We are all selfish beings at one point or another!!!
Si ndio hata magazeti yao sijui vogue.....eti 100most beautiful girls in the world???? wameenda huko lugoba au chanika?au hata kuchukua nchi zingine za afrika?
Bearing in mind the beautiful ones are not yet born anyway. Sijui wakizaliwa itakuwaje.
Americans are known for being conservatives.
Americans are known for being conservatives. Hivi wamewahi kufika Babati kwa Wambulu, Kondoa kwa Warangi au Sikonge kwa Wanyamwezi? Halafu kuna ka nchi kadogo tu kanaitwa Rwanda, kuna wanawake warembo usipime. Ethiopia je?
Halafu kuna visiwa vya FIJI...Huko wakati biashara ya utumwa inapigwa marufuku, baadhi ya meli zilizokuwa baharini na watumwa wa kutoka Afrika zilikwenda na kuwabwaga pale. Wakakutana wa wenyeji wa hapo, wakaanza kuzaana kwa damu mchanganyiko. Yaani usipime, kuna watu wazuri humu duniani. Halafu wanazungumzia Hollywood, Hollywood my foot!
Ama kweli hawa jamaa wanacheza. Wanaambiwa tembea uone, hawataki! Kuna sehemu humu duniani kuna ''uumbaji uliotulia na kutukuka''.