Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tumeumaliza mwaka 2016 salama na kuuanza huu wa 2017...ni mengi yametokea ya kufurahisha kusikitisha
Kuhuzunisha kukera kushangaza nk , tumewapoteza wapendwa wetu hapa nje na ndani ya forum
Najivunia mimi na wewe kwa shukrani kuu kuweza bado kuwa sehemu muhimu ya Jamiiforums...bila mchango wako wowote wa mada, kulike, kuchangia, kuchagiza nk Forum inakosa uchangamfu na uhai...muda wako mb zako haviendi bure kama kwa mchango wako wowote ndani ya forum kuna mtu anapata kitu kipya chenye manufaa kwake na kwa wengine...you are a beautiful person of Jamiiforums...hongera sana...!
Nimekuwa less active tangu mwaka uanze...majukumu na mahitaji ya nyakati ndio sababu kuu lakini napenda kila inapopatikana nafasi kidogo basi walau nichungulie...na hii ni kwa sababu ya upendo tuu...kupitia JF nimeweza kukutana na watu wengi sana physically na wengine hapa hapa asilimia tisini ya wote hawa ni watu wema sana na wenye kiwango cha juu cha ufahamu na uelewa wa mambo mengi
Tuna members humu ndani very prominent huku wengine wakiwa ni sawa na wazazi wetu kabisa kiumri na wengine wakiwa ni wadogo zetu wenye kuhitaji mno miongozo yetu ushauri na msaada wa kimawazo! Wote hawa kwa umoja wao ni sehemu muhimu ya ustawi wa Jamiiforums!
Forum imepitia changamoto nyingi lakini ndio sehemu ya kukua, baadhi ya changamoto zimetoka ndani ya forum huku nyingine zikiwa za nje....changamoto hizi zimeifanya Jamiiforums iwe hivi ilivyo leo ikiwa na impact kubwa sana kwa jamii ndani na nje ya nchi, uongozi thabiti na wanachama wanaojitambua bila kukusahau wewe wameifanya JF kuwa forum bora zaidi ya nyingine..!
Tuko mwaka mwingine tena wenye mdororo na mabadiliko mengi mazuri na mabaya, lakini kwa ushirikiano wetu mimi na wewe bado tuna nafasi ya kuifanya JF bora zaidi na zaidi na ndio tutazidi kuonekana kuwa sisi ni bora zaidi na kuipa heshima ya juu zaidi JF yetu
Nawapenda sana beautiful people of Jamiiforums
Mniwie radhi kwa kuchanganya lugha
Jr.!