Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha ntamwambia akufanyie mambo we leta ujuaji wako hapaHehe huo woga tu
Haha me mwenyewe fundi kama yeyeHaha ntamwambia akufanyie mambo we leta ujuaji wako hapa
Aah wap umesahau siku ile unaniambia mwambie bas kaka ako mshana akusaidie ile ishu yako ngoja nkuache nisikuumbue zaid[emoji12] [emoji12]Haha me mwenyewe fundi kama yeye
Haha umeanza kutoa siri za kaka ako eeeAah wap umesahau siku ile unaniambia mwambie bas kaka ako mshana akusaidie ile ishu yako ngoja nkuache nisikuumbue zaid[emoji12] [emoji12]
Ngoja ni[emoji40] [emoji40] [emoji40]Haha umeanza kutoa siri za kaka ako eee
Sijui utanigegeda lini
Hizi fursa ni kwa wachache sana[emoji4] [emoji4][emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji13] [emoji85] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji124] [emoji85] usimwage mchele
Heri ya Niu Iyaa popote ulipoShukrani My brother[emoji144]
Everlasting beautiful words,Tumeumaliza mwaka 2016 salama na kuuanza huu wa 2017...ni mengi yametokea ya kufurahisha kusikitisha
Kuhuzunisha kukera kushangaza nk , tumewapoteza wapendwa wetu hapa nje na ndani ya forum
Najivunia mimi na wewe kwa shukrani kuu kuweza bado kuwa sehemu muhimu ya Jamiiforums...bila mchango wako wowote wa mada kulike kuchangia kuchagiza nk Forum inakosa uchangamfu na uhai...muda wako mb zako haviendi bure kama kwa mchango wako wowote ndani ya forum kuna mtu anapata kitu kipya chenye manufaa kwake na kwa wengine...you are a beautiful person of Jamiiforums...hongera sana...
Nimekuwa less active tangu mwaka uanze...majukumu na mahitaji ya nyakati ndio sababu kuu lakini napenda kila inapopatikana nafasi kidogo basi walau nichungulie...na hii ni kwa sababu ya upendo tuu...kupitia JF nimeweza kukutana na watu wengi sana physically na wengine hapa hapa asilimia tisini ya wote hawa ni watu wema sana na wenye kiwango cha juu cha ufahamu na uelewa wa mambo mengi
Tuna members humu ndani very prominent huku wengine wakiwa ni sawa na wazazi wetu kabisa kiumri na wengine wakiwa ni wadogo zetu wenye kuhitaji mno miongozo yetu ushauri na msaada wa kimawazo! Wote hawa kwa umoja wao ni sehemu muhimu ya ustawi wa Jamiiforums
Forum imepitia changamoto nyingi lakini ndio sehemu ya kukua, baadhi ya changamoto zimetoka ndani ya forum huku nyingine zikiwa za nje....changamoto hizi zimeifanya Jamiiforums iwe hivi ilivyo leo ikiwa na impact kubwa sana kwa jamii ndani na nje ya nchi, uongozi thabiti na wanachama wanaojitambua bila kukusahau wewe wameifanya JF kuwa forum bora zaidi ya nyingine
Tuko mwaka mwingine tena wenye mdororo na mabadiliko mengi mazuri na mabaya, lakini kwa ushirikiano wetu mimi na wewe bado tuna nafasi ya kuifanya JF bora zaidi na zaidi na ndio tutazidi kuonekana kuwa sisi ni bora zaidi na kuipa heshima ya juu zaidi JF yetu
Nawapenda sana beautiful people of Jamiiforums
Mniwie radhi kwa kuchanganya lugha
Jr.!
View attachment 465007
My occupation is privileges.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji109] [emoji123] [emoji781] [emoji779] [emoji298] [emoji817] [emoji770]