Beautiful people of Jamiiforums

Nilikua nimesoma nyuzi zako mshana nyingi na karibu zote lakini sijui hii kwa nini sikuwahi kuiona! Naweza kusema hii ilikua mada bora na inaendelea kuwa bora kwa kiasi kikubwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua nimesoma nyuzi zako mshana nyingi na karibu zote lakini sijui hii kwa nini sikuwahi kuiona! Naweza kusema hii ilikua mada bora na inaendelea kuwa bora kwa kiasi kikubwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1534]
 
Seasonal greetings
 

Attachments

  • 20221225_230726.jpg
    66.2 KB · Views: 1
Tumeumaliza mwaka 2022 salama na kuuanza huu wa 2022...ni mengi yametokea ya kufurahisha kusikitisha
Kuhuzunisha kukera kushangaza nk , tumewapoteza wapendwa wetu hapa nje na ndani ya forum

Najivunia mimi na wewe kwa shukrani kuu kuweza bado kuwa sehemu muhimu ya Jamiiforums...bila mchango wako wowote wa mada, kulike, kuchangia, kuchagiza nk Forum inakosa uchangamfu na uhai...muda wako mb zako haviendi bure kama kwa mchango wako wowote ndani ya forum kuna mtu anapata kitu kipya chenye manufaa kwake na kwa wengine...you are a beautiful person of Jamiiforums...hongera sana...!
 
Tuko mwaka mwingine tena wenye mdororo na mabadiliko mengi mazuri na mabaya, lakini kwa ushirikiano wetu mimi na wewe bado tuna nafasi ya kuifanya JF bora zaidi na zaidi na ndio tutazidi kuonekana kuwa sisi ni bora zaidi na kuipa heshima ya juu zaidi JF yetu
Nawapenda sana beautiful people of Jamiiforums
Mniwie radhi kwa kuchanganya lugha
[emoji173][emoji177][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…