Beautiful people of Jamiiforums

Huwa natamani kuandika kitu Fulani kuhusu wewe, nifah, miss chaga , miss natafuta na moniccca.. I wish siku moja nitaandika tu.
 
Huwa natamani kuandika kitu Fulani kuhusu wewe, nifah, miss chaga , miss natafuta na moniccca.. I wish siku moja nitaandika tu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Mshana we ni mmoja kati ya watu ninaowaheshimu sana humu Jukwaani.

Unakumbuka ulinitumiaga nini? Hahhaha! Shukrani sana....... Elimu na maarifa yako yanatufaidisha sana.
 
Mshana we ni mmoja kati ya watu ninaowaheshimu sana humu Jukwaani.

Unakumbuka ulinitumiaga nini? Hahhaha! Shukrani sana....... Elimu na maarifa yako yanatufaidisha sana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimesahau lakini
 
much love to you too brother, kiukweli umekuwa msaada mkubwa kwa watu hapa JF directly au indirectly... barikiwa sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…