Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Mleta mada nyota njema huonekana asubuhi. Huyu dada kwa sasa uzuri wake umepungua si mnajua umri ukisonga uzuri hupungua? japo si wote ila kwa huyu dada wakati anasoma secondary vijana wa Azania sec walikuwa wanatafuta tuition aliyopo nao wasome. Si kuwa kwa wakati huo akiwa mschana hapakuwa na warembo wengine laah ila mtajwa alikuwa na mvuto wake.
By then I was dating baba yake mdogo that's how I know the chic and she is cutee.... A princess D.
By then I was dating baba yake mdogo that's how I know the chic and she is cutee.... A princess D.