Beberu ni nini?

Beberu ni nini?

Daghaseta

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Posts
396
Reaction score
535
Mimi nijuavyo beberu ni mbuzi dume ambaye kama mbegu yake itapendwa hutumika kuzalisha majike.

Mana yake nyingine ni ipi?
 
Beberu ni huyu
tapatalk_1545064419973.jpeg


Majike hulalama sana pale mabeberu wanapofika kuwanusa mikojo, ila wakipandwa wanasifu na kuita wadau wa development!

***Abhasubhi twemanye***
 
Back
Top Bottom