kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Hata ulipoanza mradi wa mabasi ya mwendo kasi Dar maneno mengi kama hayo yalikuwepo lakini mwisho kimya.kwanza Kenya wanajenga kwa fedha ya mkopo ni tofauti na yetu tunayoijenga kwa fedha ya ndani ya wavuja jasho, speed ya malipo inaweza ikawa tofauti, pasipo na wasi tunajenga kwa fedha yetu hata kama ni kidogo kidogo tumeonyesha nia kwamba hata bila ya mikopo tunaweza ishangaza dunia.mungu ibariki TZ
Kenya iko na pesa ya ndani mingi kuliko Tanzania na Uganda na Rwanda combined.
Project zinazo endelea Kenya kwa sasa hivi ni karibu mara mia moja ya zinazoendelea Tanzania.
Huo mradi wa basi wa Dar ni pocket change. Mradi wa pesa kidogo. Ata South Sudan inaweza jifanyia yenyewe.
But because of the size and complexities za Nairobi, when our BRT is done it will dwarf anything North of Limpopo, South of Sahara.