Bechtel is setting up Kenya for another $3 bln loan with $2 bln interest in 25 years


Kenya iko na pesa ya ndani mingi kuliko Tanzania na Uganda na Rwanda combined.
Project zinazo endelea Kenya kwa sasa hivi ni karibu mara mia moja ya zinazoendelea Tanzania.
Huo mradi wa basi wa Dar ni pocket change. Mradi wa pesa kidogo. Ata South Sudan inaweza jifanyia yenyewe.
But because of the size and complexities za Nairobi, when our BRT is done it will dwarf anything North of Limpopo, South of Sahara.
 
Nani hatujui wabongo kwa hadithi za vijiweni ukweli ni kwamba hakuna pesa na ujenzi umesimama sehemu kubwa.Ukiangakia hats kwenye barabara projects zote ambazo zimefadhiliwa kwa mkopo au grants na nchi wahisani na taasisi za fedha za kimataifa kama afdb au wb zimekamilika bila longolongo ila za roadfund yetu years no kukamilika mifano ni mingi nakupa mmja tu kutoka sumbawanga hadi kasanga port ni km 120 tu lakini toka 2009 barabara haijakamilika imejengwa 76km tu leo 2018 etc yaani mipango ya wabongo haiaminiki kabisa
 
Upo vizuri Mkuu..
Salute.
 
Sasa hizo pillars unadhani ni njia ya ndege, au unadhani reli inapachikwa tu kwenye ardhi.
Sasa you just subscribe that channel and you will see god speed construction.
Mambo ni [emoji95][emoji95]
 
Sasa hizo pillars unadhani ni njia ya ndege, au unadhani reli inapachikwa tu kwenye ardhi.
Sasa you just subscribe that channel and you will see god speed construction.
Mambo ni [emoji95][emoji95]
Wakenya na vijana wa ufipa ni mavilaza
 
Ndugu ujenzi WA reli unahatua Zake na zimeshasemwa Sana na wazir aliepita na wakandarasi pia...kwa Sasa kinachoendelea ni ujenzi WA madaraja sehem mbalmbal na tuta LA reli HIZi NDIZO kazi kubwa na huchukua muda mrefu KATIKA ujenzi WA reli... Na wamesema ifikapo mwezi WA December kazi za madaraja na tuta LA reli zitakua zimeisha Hivo ujenzi WA station za train na utandazaji WA reli utaanza Sasa mnataka mpate picha zipi Kwa sasa zaid ya tuta za rel, makaravati na madaraja wakat hatua za ujenz ziahasemwa na Huyo anaesema karandasi hayuko Kazin atakuwa Yupo kigoma
 
Wewe ni mtanzania uchwara Kaka Maana HUWEZI Sema eti mkandarasi hayupo site tena Kwa kusikia tu Mfano Mm Kwa uwezo wangu naanzia hapo station napanda treni had pugu huko Kote naona ujenz Unavyoendelea na wakandarasi hao waturkey wapo Sasa sijui ww anaekupa taarifa anaajenda gani nawe.. Na kuhusu bajeti Kama hujui bajeti inapangwa vipi ni bora ukanyamaza tu kuliko kupiga hesabu kumbe unajidhalilisha
 
Wewe ngombe upooo???[emoji23] Angalia hii video ujue hatutaniii

 

ahaaa haaaa
IF you are talking about the so called ''ONLY BRT'', you must be kidding.
 
ahaaa haaaa
IF you are talking about the so called ''ONLY BRT'', you must be kidding.

You're talking about a temporary measure. Hiyo 'Only BRT' is only on a single road, and is a temporary step to check traffic jam.
A proper transport system is being designed. Nairobi sio fishing village kama Dar. It will cost more money than you can dream of in Bongolala.
 

Ok mister tuta...... modern BRT. Let's wait and see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…