Becoming the Best version of Yourself comes with a lot of goodbyes

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Ukweli hauna Pande mbili...!!!!💪💪💪💪 "The strongest man is the one who stands ALONE."

Uzuri alijihami Miezi miwili kabla na akaanza kuwaaga wataafu kila Mmoja,

Mmoja alowai Shika Cheo Kama Chake akamuuliza

1. Usalama wa Taifa umeingiliwa na siasa pia unatumika na baadhi ya Kundi Dogo kutesa watu na kuua viongozi
2. Kuwaua wapinzani wake na kuwafunga akishauriwa anasema acha kwanza wapate adabu
3. Barua ya Commonwealth (Alitoa ushauri Lissu na wenye kesi waachiwe Ila akaambiwa hapo asipaguse kabisa, Maana wakubwa waliijadili na kutoa mapendekezo Ila yeye mkubwa kabisa Kasema Hapana)
4. Katiba Mpya (alishauri isiwe kwenye presha ya mbeleni lianze Maana siku 100 tayari, akaambiwa tulia kwanza)
5. Matumizi mabaya ya madaraka (Hasa kwa wizara ya michezo Pesa zilizotengwa kujenga viwanja wamekula kina Makonda na Msigwa) alipotoa ushauri akakaushiwa , wakasema anamuonea wivu kisa alisema atasimama na Samia
6. Katoliki na kujiweka karibu na watu wa JPM imemgharimu, wakamshauri boss wake kwamba hii ni threat Hakika , ndi Maana hata siku ya kwanza kuapisha mawaziri walimkwepa wakamtuma Kongo, naye akashtukia mchezo akajichomeka, ilizua utata sana kwenye communication Za IKULU
7. Muuza Matairi Kariakoo Mwezi January Balozi alikanyaga waya bila kujua kwamba mchezo wa kuchota pesa kwenye bank bila utaratibu na invoice ziko kwa Jina la muuza matairi limeleta sana shida
8. Mkubwa wake akaanza kumtenga kwenye uongozi na akaanza kushirikiana na waliochini kabisa Huyu akabaki ni kuangalia tu( Mpaka kuna muda anaongea kwa dharau akimdharau kwamba Huyu NGWALE Hana analojua ni jaziba tu Hana hekima’
9. Tofauti nyingine wakasema anashirikiana na wapinzani hasa HECHE kuhujumu uongozi wa SAMIA
10. Alisema kwamba mauaji ya watu 29/10/2025 hatupaswi kusema NEVER AGAIN TU! Bali ACCOUNTABILITY Ionekane

11. Wazanzibari ndo wanajifungia kuamua mambo ya Muungano na hata ambayo si kwao,,

Hizo ndo sababu alizowapa wastaafu

Ila Za kwenye Laptop Bado zinafanyiwa Kazi

Britanicca
 
Aisee Noma Sana
Jambo la kutisha zaidi, sio M/ Rais kujiuzulu kwa namna ya sintofahamu, bali ni kuchukiwa kwake kwa kauli ambazo ni very positive kwa maslahi ya taifa. Yaani kuchukiwa kwa sbb ya kutamka katiba mpya, kupinga mambo ya kuumizana, kuwataja wanaharakati positively, inatisha sana.
 
Stori zitatungwa nyingi sana.
waandishi wa Riwaya za kiupelelezi huo ndio muda wao wa kujiokotea chochote kitu kabla mambo ya uongo na uzushi hayajaanza kupuuzwa.
 
Aiseeee !

Britanicca
Ni kama yana kaukweli fulani vile....
 
Stori zitatungwa nyingi sana.
waandishi wa Riwaya za kiupelelezi huo ndio muda wao wa kujiokotea chochote kitu kabla mambo ya uongo na uzushi hayajaanza kupuuzwa.
Andika unachojua acha kuleta upumbavu wako mkuu! Huna unachojua soma na kaa kimya.
 
na nyinyi mnaopenda ubuyu ili mkawasimulie mabwana na mahawara zenu ndiyo mtalishwa kila aina ya uchafu.
 
Back
Top Bottom