Bedford: Unyama mwingi

Bedford: Unyama mwingi

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Hii kitu tumeipanda tuliosoma Boarding public schools. Kapotezwa na kina Yutong ujinga mwingi

images (40).jpeg
 
Umenikumbusha

Embakasi na kombora hizi zilikua Basi zinatoka iringa mjini kwenda tanangozi waliosoma enzi hizo tosamaganga na wakazi wa tanangozi watakumbika
 
ERF kuna malori kama Scania yameandikwa hivyo pamoja na DAF kumbe ni hatari.
Ndio mkuu ERF trucks zilikuwa poa sana!! Tanzania hazikununuliwa sana ndiyo maana zilizopo sasa hivi zinahesabika..

Alikuwepo tajiri mmoja wa mbeya anaitwa DHANDHO, yard yake ilikuwa pale kadege..
Huyu ndiyo mtu pekee aliyemiliki ERF nyingi Tz nzima!!
 
ERF za Sasa hizi new model zimekuwa ni mbovu sana ndo maana watu wanaziogopa gari Ina umeme kuliko tanesco.Unaeza chomoa redio tu gar ikagoma kuwaka.
 
Back
Top Bottom