Bedford: Unyama mwingi

Bedford: Unyama mwingi

Mabadiliko ya teknolojia na urahisi wa mambo ndio imepoteza hayo Nagari ila nitakushangaa kama ulitarajia dunia itakua kama mawazo yako yanavyotaka. Hizi bus za kisasa ni kulingana na mabadiliko ya kiteknolojia na Yana efficiency kubwa Sana tofaut na hayo magala ngala ya kizamani.
 
ERF za Sasa hizi new model zimekuwa ni mbovu sana ndo maana watu wanaziogopa gari Ina umeme kuliko tanesco.Unaeza chomoa redio tu gar ikagoma kuwaka.
Tunaziogopa kwakua tuna umaskini kuanzia mifukoni Hadi kichwani jiulize kitu Chenye spea kwann kiwe kibovu wakat ni Jambo la kubadili kilicho haribika kuweka kipya
 
ERF za Sasa hizi new model zimekuwa ni mbovu sana ndo maana watu wanaziogopa gari Ina umeme kuliko tanesco.Unaeza chomoa redio tu gar ikagoma kuwaka.
Mkuu ERF new model ni zipi? Nikimaanisha za mwaka gani..

Miaka ya mwanzoni wa 2000 kampuni ilinunuliwa na MAN, huo ndio ukawa mwisho wa kuzalisha trucks zenye jina la ERF!!
 
Chuma hiki hapa namba E.
20230128_094635.jpg
 
Back
Top Bottom