Bedford: Unyama mwingi

Umenikumbusha

Embakasi na kombora hizi zilikua Basi zinatoka iringa mjini kwenda tanangozi waliosoma enzi hizo tosamaganga na wakazi wa tanangozi watakumbika
 
ERF kuna malori kama Scania yameandikwa hivyo pamoja na DAF kumbe ni hatari.
Ndio mkuu ERF trucks zilikuwa poa sana!! Tanzania hazikununuliwa sana ndiyo maana zilizopo sasa hivi zinahesabika..

Alikuwepo tajiri mmoja wa mbeya anaitwa DHANDHO, yard yake ilikuwa pale kadege..
Huyu ndiyo mtu pekee aliyemiliki ERF nyingi Tz nzima!!
 
ERF za Sasa hizi new model zimekuwa ni mbovu sana ndo maana watu wanaziogopa gari Ina umeme kuliko tanesco.Unaeza chomoa redio tu gar ikagoma kuwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…