Bee Gees founder Robin Gibb, pioneer of disco, dies at 62

Bee Gees founder Robin Gibb, pioneer of disco, dies at 62

Robin-Gibb-life-in-pics-001.jpg

Gibb in Brussels in 2011
 
What a truly great voice Robbin Gibbs was. Tracks like how deep is your love for me and stayin alive are truly memorable.
 
Wajukuu wakuwajua mimi bado,
ukitanguliza wavulana inachukua muda kweli
kupata wajukuu.
@Mamndenyi mimi pia sina wajukuu nina jambazi wangu wa kiume laiti angelikuwa ni msichana mbona ningelikuwa na wajukuu wa kumwaga lakini pamoja na hivyo naitwa jina la babu kutokana na dada zangu wanao wajukuu wa kumwaga asante bibie.
 
Kweli mkuu,
lakini muda utasema tu,
tungoje ahadi ya Mungu.

@Mamndenyi mimi pia sina wajukuu nina jambazi wangu wa kiume laiti angelikuwa ni msichana mbona ningelikuwa na wajukuu wa kumwaga lakini pamoja na hivyo naitwa jina la babu kutokana na dada zangu wanao wajukuu wa kumwaga asante bibie.
 
R.I.P Robin Gibb and thanks for sharing your wonderful voice with the world, peace and love to his family
:crying:
 
R.I.P Gibb. Mimi kijana wa zamani nakumbuka nyimbo zao zilikuwa zinapigwa kwenye kumbi za disco!
 
@Mamndenyi mimi pia sina wajukuu nina jambazi wangu wa kiume laiti angelikuwa ni msichana mbona ningelikuwa na wajukuu wa kumwaga lakini pamoja na hivyo naitwa jina la babu kutokana na dada zangu wanao wajukuu wa kumwaga asante bibie.

MziziMkavu duh acha kumwita jin abaya hivyo bana
Mi kijana wako feel proud of him bana
Inawezekana kwenye kwenda kwenda huko kuna sehem ameacha huwezi jua anaweza kukuambia baba nina mtoto nilipata huko nilikopita

BTW R.I.P Gibb
 
Usiongope
Mungu atamsaidia tu atimize lengo lake la elimu,
ila jitahidi sana awe rafiki yako,
muwe mnaongea apate kukueleza yote.

lol Mie nina Kabinti msinitishe na kuanza kulea wajukuu mapema wakati nataka apate elimu kwa maisha yake ya baadae ..
 
it yet another blow for old timers music lovers! RIP
 
Jamaa is a Legend, What he has done in the Music sector is abundant.... I just wish wanamuziki wa sasa badala ya kutoa ut entertainment wangekua wanasoma na Origin, evolution na walofanya Music iwe mahala ilipo. May He Rest In Peace.
 
RIP Gibb. You are one of those who defined our youth.
 
Jamaa is a Legend, What he has done in the Music sector is abundant.... I just wish wanamuziki wa sasa badala ya kutoa ut entertainment wangekua wanasoma na Origin, evolution na walofanya Music iwe mahala ilipo. May He Rest In Peace.
R.I.P. Gibb!
Dada, umetaja kitu ambacho daima kinanitatiza na kujiuliza - kulikoni na wanamuziki wa sasa? Wanamuziki wa zamani walijali sana ubora kuliko wingi/ukubwa wa kazi zao. Pia mziki wa zamani ulikuwa wa "team play" ndio maana wengi wamebakia kuwa legend. Kwa nini wanamuziki wa sasa ndani ya muda mfupi wanafifia haraka? Hatuna haja ya kuangalia wa nje kwa hili mifano ya petu inatosha.
 
Back
Top Bottom