BEE NETWORK

Mkuu hayo mbona ni mambo ya kawaida? Hayo matangazo wala siyo lazima uyaangalie ni wewe mwenyewe kama unapenda kuangalia
Hiyo pia ni fursa ndani ya biashara, kwani kuna ajabu gani ukienda duka la dawa halafu ukakuta anatoa na huduma ya uwakala (kutoa na kuweka pesa)
Eti una mine kumbe jamaa anauza matangazo
 
Atapigwa Mtu Atalia Usiku/Mchana Kutwa
 
ata ukisema uyatoe kesho unayakuta tena
 
Duh! inewaumiza kivipi wakati haukutumia gharama na price yake nasikia inapanda kila siku na mambo ni mazuri tu ?

Kwani ulikuwa na Pi ngapi ?
Mimi nilinunua through okx siyo zile za kuchimba. Nilinunua pi 137 na ilikuwa kwenye rate ya 2.6 na ilikuwa inapanda balaa nadhani wahuni walikuwa wanaipump ndiomaana ilikuwa inapaa sana. Nikatupia ml 1.02 zikaja pi coins 137 nikahold nikitazamia kufika 2030 kwa moto ilionao inaweza tazamia kufika walau usd 10. Kilichotokea sasa hivi inashuka tu naona kwa ss ipo 1.3 na inaendelea kushuka😄
 
 
Mkuu mbona hata bitcoin inashuka na kupanda? Ni mambo ya kawaida hayo, pia haihitaji kuwa na haraka kama inashuka basi na kupanda ni lazima
 
mm toka imeingia nlishort ya kwanza ilikua liquidated ila nkafungua ingine meenda mpaka ipo $7k saahv
Hivi vitu ukiotea unaotea palefu sema ndio hivyo ulaghai kwenye hizi coins umekuwa mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…