BEE NETWORK

Mkuu mbona hata bitcoin inashuka na kupanda? Ni mambo ya kawaida hayo, pia haihitaji kuwa na haraka kama inashuka basi na kupanda ni lazima
Ndiomaana nikasema siwezi sell naacha hivyo hivyo ikitaka ishuke mpaka 0.00
 
Duh ! uliwekeza million kwenye Pi ?
 
Hivi vitu ukiotea unaotea palefu sema ndio hivyo ulaghai kwenye hizi coins umekuwa mkubwa sana
Sio Kwa market max supply ya 100Bilioni pi. Haiwezi na haitakaa Ifike Dola 3 Kwa Moja.
 
Imeanza kupanda
Kumbuka Mimi nilinunua ikiwa high 2.6 nikiamini kwa mwendo ilikuwa nao mwaka utaisha ikiwa na 10 usd. Sidhani hata hiyo 2.6 itaifikia Tena kwa mwendo huu ninaoona
 
Kumbuka Mimi nilinunua ikiwa high 2.6 nikiamini kwa mwendo ilikuwa nao mwaka utaisha ikiwa na 10 usd. Sidhani hata hiyo 2.6 itaifikia Tena kwa mwendo huu ninaoona
kama nia ilikua kujaribu bahati sawa, ila kama uko serious na hii biznez chukua coins nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…