ubunifu zero bila skendo hakuna umaarufuMziki wa Tanzania nao unachosha....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama kiki, lakini maneno kama yale mi ningempa mtu ngumi halafu tuendelee kutoa wimbo. Duh!
Stupidity of the the majority fansView attachment 384755
Beef la wiki hii kati ya Msechu na AT kiasi cha "kuchambana" kupitia mitandao ya kijamii ilikuwa ni "kiki" ya kutambulisha wimbo wao wa Audio uitwao "Msengenyo".
Humu JF yaliletwa maneno na kichambo alichopata Msechu toka kwa AT kiasi watu walivurumisha hasira kwa AT kumbe ni kama lile beef la kutengeneza la Vanesa Mdee na Shishi Baby mtoto wa Igunga
Kuna kiki zinatafutwa kipuuzi mno sijui nani anawashauri? Au ni Mr Makondeko?Wasiishie kiki wauze.
huyu ndo mpuuzi kweliKiki zitawatoa kiki wengine walijisingizia ajali kina tundaman kiki za hawa wasanii jamani kinyaa
Yaani acha tu mkuu wanaonyesha ni kwa kiasi gani hawajiamini yaan bila kiki mambo hayaendiMziki wa Tanzania nao unachosha....