"Beef" ya kutengeneza ya AT na Msechu ilikuwa "kiki" ya kutolea wimbo

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880
image.jpeg

Beef la wiki hii kati ya Msechu na AT kiasi cha "kuchambana" kupitia mitandao ya kijamii ilikuwa ni "kiki" ya kutambulisha wimbo wao wa Audio uitwao "Msengenyo".

Humu JF yaliletwa maneno na kichambo alichopata Msechu toka kwa AT kiasi watu walivurumisha hasira kwa AT kumbe ni kama lile beef la kutengeneza la Vanesa Mdee na Shishi Baby mtoto wa Igunga
 
Na waombee iyo nyimbo iwe nzr si kwa mipasho ile
 
Hata kama kiki, lakini maneno kama yale mi ningempa mtu ngumi halafu tuendelee kutoa wimbo. Duh!
 
View attachment 384755
Beef la wiki hii kati ya Msechu na AT kiasi cha "kuchambana" kupitia mitandao ya kijamii ilikuwa ni "kiki" ya kutambulisha wimbo wao wa Audio uitwao "Msengenyo".

Humu JF yaliletwa maneno na kichambo alichopata Msechu toka kwa AT kiasi watu walivurumisha hasira kwa AT kumbe ni kama lile beef la kutengeneza la Vanesa Mdee na Shishi Baby mtoto wa Igunga
Stupidity of the the majority fans
 
Kiki zitawatoa kiki wengine walijisingizia ajali kina tundaman kiki za hawa wasanii jamani kinyaa
 
Kwani hamjui hata diamond na kiba ni kiki ya kuendelea kumbakiza/kumrudisha Ali kiba katika muziki??
 
Back
Top Bottom