Beef ya Nas na Jay Z nani alishinda?

Beef ya Nas na Jay Z nani alishinda?

XXL is a platform run by humans, they can be wrong and biased too. Kama una independent mind, tunaweza kujadili kwanini Ether ni trash na take over ni bora zaidi. Ila kama unapima kwa kutumia mawazo ya watu wengine, then hatuna cha kuongea.
Wewe tuambie WHY TAKE O ER?
 
Nampa credit Hov.
1. Yeye alianza kurelease wimbo. Hii ilimpa nafasi kubwa mpinzani wake kujipanga na kujibu kwa kuangalia mtangulizi ameandika na kutamka nini..

2. Flow-wise.. Hov ni bonge moja la stylish. Style yake ya kuchana, up and downs na versatility from line to line and verse to verse Nas alipotezwa

3. Kwa mistari Nas alimkalisha Hov japo kwangu ni japo alipewa nafasi ya kujipanga but hakumpoteza kwa mbali.

Ni kama ilivyo Renegade.. Wengi huwa tunakimbilia kusema Hova alikalishwa just bz Eminem alikuwa ana flow yake ile ya hatari, faster and lyrical..
But ukikaa peke yako na kutumia akili na umakini kusikiliza, utampa credit Hov is the best Stylish of all the Time. Siku zote nilikuwa nausikiliza ule wimbo juu juu na kumpa kura zote Eminem but of recently kama for two yrs now kwenye ule wimbo nampa Hov 55% na Eminem 45. Wakati zamani nilikuwa nampa Hov 30% na Eminem 70%.
 
What bars!
...now you are just gurbage...laaaaaaaame!
Hell no, bars are too weak....

That’s why your -- l-a-a-a-m-e! -- career's come to a end/There's only so long fake thugs can pretend,'' Jay-Z in takeover

Akimaanisha kuwa Nas anajifanya thug baada ya kuona career yake inafika mwisho.. kisha Nas akamjibu hivi

am truest Name a rapper that I ain’t influenced-Nas in ether

Akimaanisha kuwa yeye ni rapper ambaye amestick kwenye street root na hawezi kwenda nje ya mainstream kwa ajili tu ya kutengeneza hela kama Jay-z alivyofanya.

Had spark when you started but now you are garbage, fell from top 10 to not mentioned“ Jay-Z in takeover

hapo awali kabla ya bifu Jay-z alikuwa ana mkubali sana Nas na hata ile nyimbo yake “where i am from” kuna line moja ana mtaja Nas kama moja ya marapper watatu bora anaowakubali “who’s best MCs biggie,jay z or Nas?” lakini hapa alimponda.... Nas nae akamjibu kama hivi

”How could Nas be garbage? Semi-autos at your cartilage”-Nas in ether

akimaanisha jay z anasikiliza nyimbo za Nas mpaka zimemzoea maskioni.. pia akamjibu huo huo mstari kwa bars zingine hizi hapa

”Gave y’all chapters, but now I keep my eyes on the Judas” Nas in ether

jay z amewahi kusample nyimbo nyingi za Nas na hata kuiga sauti yake kabla ya bifu, lakini leo leo anazipondea nyimbo hizo hivyo anamuona kama msaliti.

”All I did was give you a style for you to run with”-Nas in ether

Inaaminika kwamba kabla Nas hajatoa album ya illimatic, marapa wengi walikuwa wana rap kwa fujo sana lakini baada ya kuona slow style ya nas aliyotoka nayo kwenye illmatic wengi waliipenda na wakaanza kuiiga akiwemo jay z.

”My child, I’ve watched you grow up to be famous And now I smile like a proud dad watchin’ his only son that made it”-Nas in ether

Hapa Nas anajisifu kwa kejeri kuwa amemkuza na kumlea jay z na anamchango katika mafanikio yake

HALAFU BADO KUNA WATU WANAKWAMBIA ETI TAKEOVER NDIO ILICHUKUA USHINDI KWENYE HII BATTLE...., hahaha nnakataa mpaka kesho jigga was brutally decimated on the mic and he was never been the same aftermath alikuwa mpole kama karunguyeye.
 
Wewe tuambie WHY TAKE O ER?

Sababu moja na kuu ni Take over ina-attack career ya Nas kwenye rap, sio Nas as a person tu.

Nas alipewa elimu ya biashara na muziki. Alifanya kazi, waliofaidi ni wengine, Jay akiwemo.

" So yeah, I sampled your voice you was usin' it wrong, You made it a hot line, I made it a hot song/
And you ain't get a coin, nigga, you was gettin' fucked then, I know who I paid, God – Serchlite publishin' / "

Jay challenges Nas kufanya kazi, na kazi zenye kiwango. Sio kulalia Illmatic tu.

" Four albums in 10 years, nigga? I could divide /
That's one every… let's say two, two of them shits was doo /
One was "nah," the other was Illmatic,
That's a one-hot-album-every-10-year average/ "

Fact checking. Large Prof alitoa ushahidi wa Jay kumuinyesha Nas bastola kwenye hiyo tour.

" I showed you your first TEC on tour with Large Professor /
Then I heard your album about your TEC on the dresser / "

Ether ni vijembe na matusi ya kitoto tu.
 
Huwezi linganisha
......YOU TRADED YOUR SOUL FOR RICHES......
na
....YOUR LYRICS ARE LAAAAAAAAAAAME....

R.I.P Stuart nigaz was more than a diss track, it revolutionized hip hop dissing..
Ccm traded our National resources for selfish ambition..
 
Ether ilikuwa nyoka, hauwezi kuifananisha na usenge unaoitwa takeover, katika hip hop history, diss track kali kwa mpangilio kwa mtazamo wangu yakwanza ni no vaseline - ice cube, 1000 miles nwa, hit em up, mad niggaz -pac, who shot you-big smalls,sina nafasi kabisa ya nyimbo inaitwa taking/taken over, kama unabisha kawauliza hot97 radio new york watakwambia ni nani alishinda hiyo vita, queensbridge
 
Story za Jay Z kulia ni uongo wa mtaani.Nas katika diss zote kwa Jay Z hii Ether ndio iliyokuwa tight, lakini kiukweli Jay Z alishinda wakuu, japo kuna media ilimpa Nas 51/100 na Jay Z 49/100.
Miaka mingi baadae 50 cent aliwahi kusema Nas alishinda in short run lakini overtime Jay Z aliprove kuwa ameshinda na aliachana kabisa na direct diss tracks,yani hakuona faida,thats why kina 50,The Game na wengine kibao kila wakimzingua anakausha.
****mwisho Jay Z kawateka almost wote reference ni B-Concert kama sikosei mpaka Nas kakiri,kamwita King Hov on stage, kina Camron ndio kabisa.
Hakika Jay Z ni Mkali wao....hasa jinsi anavyoevolve katika nyakati hizi ngumu kwa wasanii wa boombap na ujio wa new school.
 
Back
Top Bottom