Beef ya Nas na Jay Z nani alishinda?

Beef ya Nas na Jay Z nani alishinda?

That’s why your -- l-a-a-a-m-e! -- career's come to a end/There's only so long fake thugs can pretend,'' Jay-Z in takeover

Akimaanisha kuwa Nas anajifanya thug baada ya kuona career yake inafika mwisho.. kisha Nas akamjibu hivi

am truest Name a rapper that I ain’t influenced-Nas in ether

Akimaanisha kuwa yeye ni rapper ambaye amestick kwenye street root na hawezi kwenda nje ya mainstream kwa ajili tu ya kutengeneza hela kama Jay-z alivyofanya.

Had spark when you started but now you are garbage, fell from top 10 to not mentioned“ Jay-Z in takeover

hapo awali kabla ya bifu Jay-z alikuwa ana mkubali sana Nas na hata ile nyimbo yake “where i am from” kuna line moja ana mtaja Nas kama moja ya marapper watatu bora anaowakubali “who’s best MCs biggie,jay z or Nas?” lakini hapa alimponda.... Nas nae akamjibu kama hivi

”How could Nas be garbage? Semi-autos at your cartilage”-Nas in ether

akimaanisha jay z anasikiliza nyimbo za Nas mpaka zimemzoea maskioni.. pia akamjibu huo huo mstari kwa bars zingine hizi hapa

”Gave y’all chapters, but now I keep my eyes on the Judas” Nas in ether

jay z amewahi kusample nyimbo nyingi za Nas na hata kuiga sauti yake kabla ya bifu, lakini leo leo anazipondea nyimbo hizo hivyo anamuona kama msaliti.

”All I did was give you a style for you to run with”-Nas in ether

Inaaminika kwamba kabla Nas hajatoa album ya illimatic, marapa wengi walikuwa wana rap kwa fujo sana lakini baada ya kuona slow style ya nas aliyotoka nayo kwenye illmatic wengi waliipenda na wakaanza kuiiga akiwemo jay z.

”My child, I’ve watched you grow up to be famous And now I smile like a proud dad watchin’ his only son that made it”-Nas in ether

Hapa Nas anajisifu kwa kejeri kuwa amemkuza na kumlea jay z na anamchango katika mafanikio yake

HALAFU BADO KUNA WATU WANAKWAMBIA ETI TAKEOVER NDIO ILICHUKUA USHINDI KWENYE HII BATTLE...., hahaha nnakataa mpaka kesho jigga was brutally decimated on the mic and he was never been the same aftermath alikuwa mpole kama karunguyeye.
mzee ujengewe sanamu lako pale posta😂😂
 
XXL is a platform run by humans, they can be wrong and biased too. Kama una independent mind, tunaweza kujadili kwanini Ether ni trash na take over ni bora zaidi. Ila kama unapima kwa kutumia mawazo ya watu wengine, then hatuna cha kuongea.

Punguza ubishi..
Mimi ni big fan wa Jay Z lakini ether ilimvua nguo Jay Z..
Ametajwa Jaz O...unamjua Jaz O?alikuwa mentor wa Jay Z ndo maana hata majina unaona Jay anaambiwa umechukua Jina la Mentor wako halafu akamkimbia Jaz O achilia mbali hakuwahi kumtaja popote Jaz O kama mtu aliemsaidia kuingia kwenye game...Jay Z alionekana snitch Sana kiaina ...Aina ya watu wasio kumbuka fadhila wanaposaidiwa...ilibidi media zimtafute Jaz O wapate history yake na ndo Jaz O akaona kapata upenyo atoe sasa album..amshirikishe Jay Z kijana wake...Jay Kwa shingo upande akatuma verse yake moja ...hakuingia hata studio na Jaz O....jamaa ndo akatoa mix tape Yale ..wakati kabla ya Nas kulisema Hilo Jay Z alikuwa hapokei simu wala hataki kujuana tena na watu hawa waliomsaidia Sana ...kumbuka Jay Z alikuwa mtoto mdogo tu WA miaka 15 wakati kina Jaz O wanamuonesha rap game ilivyo ....achilia mbali nyimbo ya kwanza Jay Z kutamba ni sample ya Nas ....

Nas alishinda hii bifu asubuhi kabisa ..sababu aliandika vitu tofauti na matarajio ya watu...alizungumzia jinsi wasanii wanavyopata umaarufu na kusahau waliowabeba na walipotoka na ilikuwa ukweli mtupu wenye facts...
 
Haha sielewi hata Jaz O katokea wapi kwenye tulicholuwa tunaongelea, ila hii version yako ya mahusiano yao iko chaka balaa. Latest interview aliyofanya Jaz, iko VladTV, unaweza pitia uelewe zaidi mahusiano yao.

Hapa tunaongelea Ether ya Nas kuwa trash song, na Takeover ya Jay was far better. This we can discuss.
 
Jaz O kapata umaarufu sababu ya Ether mazee ..sikiliza vizuri katajwa humo ndo watu wakaanza Ku dig na kujiuliza who is Jaz O....
 
Come on, B. Huo umaarufu alioupata Jaz kutokana na Ether ni wa wapi?
 
Ntashindwa hata cha kukujibu..
Sijui ulikuwa wapi miaka hiyo..
Kulikuwa na radio Hot 97 kama sikosei ya New York..kulikuwa na magazine .."The Source"..na mengineyo kama XXL. ,vibe ..etc...
Bifu lilikuwa linajadiliwa ...
Jaz O alifanyiwa interview na The Source baada ya Ether....
Sikiliza mistari ya Nas humo ..Jaz O katajwa ..Sana ..Jay Z Hadi cheni na Jina ni Jaz O inspired..
Kuna picha ya Jay Z na Jaz O...nikipata ntaweka hapa ...
Jay Z alivuliwa nguo na Ether ..
 
Here's the link, mzee. Msikilize Jaz-O mwenyewe, na sio story za vijiweni bro.

Ukimaliza hebu weka mistari ya Ether unayodhani imemvua Jay nguo.
 
Hii interview ni years later baada ya Jay Z kurekebisha mahusiano yake na Jaz O na wengine ...Hadi Nas alikuwa..bifu lishaisha ... Hawezi ongea anything negative... tena....

Watu wakiongea kwenye interview kuna vitu hawawezi ongea ...

Hata Damon Dash huwa anaongea vizuri Tu Kwa interview Kumhusu Jay Z but unafikiri anakuwa honest?
 
Come on, man. Umesema Ether ndio ilimpa umaarufu Jaz, nimekuweka interview yake mwenyewe ujue alikuwa ni nani kabla hata ya hiyo beef.

Anyway, tuyaache hayo. Weka bars toka Ether unazodhani zilimvua nguo Jay.
 
Kwa wale wanajamii wafatiliaji wa muziki
Wakufoka ( hip hop ) nadhani hayo majina
Na kilichokajiri haviwezi kuwa vigeni kwenu.

Kwa uchambuzi wa kawaida tukizingatia
Ushairi, style na production nani alimuua
Mwenzake kwenye zile disstracks.
Zingatia hayo niliyoyasema.

Ushairi..
Rapping style..
Production...

Unadhani yupi alishinda battle...
Ambapo Ngoma zinazosimamiwa kuwa ziliamua mkali ni nani ni

Jay Z take over
Nas Ether

Let's go....
Daaah rap ya Nas na Jay z ngumu kuzishindanisha, sijui sababu mie ni mshabiki wa wote, hawa veterans walikua wanajua kazi kweli. Walikutana kwenye Ngoma ya "Sorry not sorry" ya Dj Khaled, ni hatari sana
 
Inaaminika kwamba kabla Nas hajatoa album ya illimatic, marapa wengi walikuwa wana rap kwa fujo sana lakini baada ya kuona slow style ya nas aliyotoka nayo kwenye illmatic wengi waliipenda na wakaanza kuiiga akiwemo jay z.
Huu ni ukweli asilimia 101. Style ya Nas ime-influence sana rap za kiboss za polepole. Wameshuka na hii style kwenye Sorry I'm not Sorry kuanzia chorus hadi mashairi wote wawili Jigga na NAS. Nafurah sana kuwaona hawa jamaa pamoja, sababu huwa siwezi washindanisha
 
Facts. Nas won the battle, Jay won the war.

How many battles are there?
Which battles did Hov won more to make him won the war?

Haya mambo ni kweli hayana mzani sawa kupima ni diss gani exactly ilishinda kwasababu kila upande utavutia kwake

But based on hip hop community Either is “regarded” the best diss track of all
 
After Ether Jay responded with Superugly. Not a top class diss record but it was a response. Then the beef was squashed ... Where was it made public? At JAY'S CONCERT! Then Nas signed with Def Jam. Guess who was running Def Jam at the time? JAY! Basically after squashing the beef Nas went to work for Jay. Now I'm sure you'll get the concept of Jay winning the war.
 
You got it wrong
After Either Hov panicked and responded with Super Ugly
The diss was totally out of hip hop culture (that’s why the diss flop)
Hov mom had to make him apologized to Nas and comunity....,,, Yes He did

That’s where he realized he can’t beat Nas lyrically in diss and Hov did what we call “ if you can’t beat them join them”
 
Where did I get it wrong? And why do you consider Jay signing Nas as "joining" him?
 
You got it wrong by thinking Hov won the war just because Def Jam signed NAS

It’s Def Jam that make an effort to make sure Nas is signed under Def Jam so NAS wouldn’t make more damage to Hov
 
Your assumption is very wrong. Nas signed with Def Jam after the beef was squashed. It was Jay who personally signed Nas to Def Jam. By the way, why would Nas agree to sign a deal in order for him NOT to be able to attack Jay? It doesn't make sense.
 
Back
Top Bottom