Beef zilizotikisa vikundi vya hip hop kwa enzi zile

Beef zilizotikisa vikundi vya hip hop kwa enzi zile

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
3,978
Reaction score
9,841
Wadau,

Nianze na motive yangu ya 2022 UTAJIRI NI SIRI NA SIRI NDIO UTAJIRI WENYEWE

Twende madani, mashabiki wazamani wa hip hop wanajua kulikuwa na vikundi vya hip hop matata sana na vilikuwa vina moto na amsha amsha nyingi sana kwa kipindi iko.

Kuna vikundi kama Kikosi cha mizinga chini ya Kalapina, aisee hii kitu ilikuwa hatari, Pina alikuwa kama mwanajeshi kweli kwenye hii kikosi.

Kuna Nako 2 Nakos chini ya lody eyes, awa majamaa walikuwa mwanajeshi na nusu kwa kipindi kile, kuna TMK wanaume walikuwa chini ya Sir, juma Nature, badae wakagwanyika na kuwa TMK Wwanaume halisi na TMK wanaume family alafu kuna eastcoast, hiki sikijui kivile kwasbabu nilikuwa sina mizuka nao

Kama mnakumbuka kwwnye makundi hayo kulikwa na mabeef ya hatari sana hapo mabeef kama beef la kikosi cha mizinga Vs nako 2 nakos, beef la TMK wanaume halisi na TMK wanaume family.

Tukumbushane viss na mikasa ya mabeef hayo nini ilikuwa chanzo ? Wakina nani walikuwa wakali ? Kikundi gani kilikuwa kinaogopeka hapo ?
Kwenye mabeef yao wakina nani waliwashinda wenzao ?

Nachokumbuka iyo ya kikosi cha mizinga Vs nako 2 nakos, wakina lody eyes walikalishwa sana na kalapina wakapotea wote mpka mkuu wa kikundi akawa teja na kurudi kwao Arusha.
 
Back
Top Bottom