Beforward Tunakufuata Ulipo

Joined
Jun 29, 2019
Posts
4
Reaction score
4
Habarini wakuu?

Kwa kufahamu kwamba baadhi ya wateja wetu wamekua na majukumu mengi jambo linalosababisha kukosa mda wa kutosha kupata msaada wa karibu katika hatua za kuagiza gari, na kwa kudhamiria kukupatia huduma iliyo bora zaidi sasa tuko tayari kukufata mahali popote ulipo ili kukupatia msaada wa kuweza kuagiza gari yako kupitia kampuni yetu ya Be Forward.

NB:
Huduma hii ni kwa wale wanaoishi au wenye uwezo wa kufika Jijini Dar es Salaam
Kwa mawasiliano zaidi piga +255746267740 mda wowote
 
Unaweza kukuta huyo aliye sema wababaishaji nae anatoka SBT japan au car trade and the co.

Kwangu mimi be forward bado hamjaniangusha kwakweli so hadi hap leo hii ninawapongeza tu
 
Nimenunua magari zaidi ya manne kupitia Beforward,mko vizuri sana
 
BeFoward wapo vizuri.
Nilishanunua gari kupitia huko likafika salama.
 
Nipe simu yako ultuzungumze pembeni kweli mmekuwa wababaishaji mliniletea gari mbovu mpaka sasa mwezi wa saba haijatengemaa.
 

Ni siku zipi ambazo mna-update vehicle stock yenu?

Kuna IST nimeisaka kwenye stock yenu bila mafanikio...

Toyota IST
Year: 2006
Color: White or Pearl
Mileage: Maximum 120,000 KM
Drive: 4WD / Model CPA Ncp65
✓ Alloy wheels
✓ Fog lights
X No rear spoiler!

Sivutiwi na yenye rear spoiler coz naona kama rear spoiler inaweka muonekano mbaya wa nyuma.

-Kaveli-
 
Huyu beforward hata hajibu concerns za wadau hapa. Uzi wa kipuuzi huu.

-Kaveli-
 
Magari katika mtandao wa Beforward ni bei kubwa kuliko SBT kwanini?
 
Magari katika mtandao wa Beforward ni bei kubwa kuliko SBT kwanini?

Mkuu.
Mimi sio muhusika ila Mwezi wa 10/11 nilikua natafuta gari na mitandao yote niliitumia. SBT, BF, TCV, etc hadi Auctions nilikua nacheki.

Tuwe wawazi Beforward wana options nyingi na bei zao cheap. Hao Tradecar view wana magari mengi ila kumbuka lile ni soko sio kampuni.

Kuna gari niliipenda Tradecar view pia ilikuwepo Beforward iyo iyo ila tofauti ya CIF ilikua zaidi ya $1000,Tradecar view ikiwa juu.

Tulipata garina wajamaa tuliongea nao wakashusha zaidi ya $400.
 
Je Be Forward mna matawi mikoani?? Na ni mikoa gani ambayo mmeshaweka matawi yenu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…