Beforward Tunakufuata Ulipo

Beforward Tunakufuata Ulipo

Jamaa keshapewa money Laundering?
Mbona hajibu!!
 
Same chasis number.

Same model.

Sema kingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka argument yako sawa,kwenye hz picha ulizotuma hujaonyesha chasis number ambazo zinafanana on both websites to be fair;Copy hyo chasis number hapa pamoja na hzo website zinazoonyesha hizo price for confirmation otherwise ili kuweka mambo sawa.Hvyo ndivyo counter argument inavyopaswa kwenda
 
Hawa watu wote hamjaongea kitu kieleweke kila anaekuja nae anasema kampuni hii ndio nziri
 
Hivi kaka kwenye website ya beforward kwa mfano nikanunua gari kutoka dubai au kutoka USA au kutoka UK gharama zake zinakuwa ni sawa na kununua gari Japan?
Nadhani wao ndo wanajua jinsi watakufikishia gari yako.
 
Habarini wakuu?

Kwa kufahamu kwamba baadhi ya wateja wetu wamekua na majukumu mengi jambo linalosababisha kukosa mda wa kutosha kupata msaada wa karibu katika hatua za kuagiza gari, na kwa kudhamiria kukupatia huduma iliyo bora zaidi sasa tuko tayari kukufata mahali popote ulipo ili kukupatia msaada wa kuweza kuagiza gari yako kupitia kampuni yetu ya Be Forward.

NB:
Huduma hii ni kwa wale wanaoishi au wenye uwezo wa kufika Jijini Dar es Salaam
Kwa mawasiliano zaidi piga +255746267740 mda wowote
Nlikuwa nafanya comparison ya honda crosroad 1790cc kwenu na makampuni mengine bei zenu zipo juu ya mara mbili. Na zimepata hivi karibuni maana nimeagiza crossroad 2 za marsfiki zangu, kwa 14mil
 
Back
Top Bottom