Wana ofisi Dar ?Mkuu kuna jamaa wanautwa Japanesevehicles.com bei zao Beforward na SBT wote wanasubiri ila ni magari yenye quality sana..
Hapana ni online Japan tuWana ofisi Dar ?
Magari katika mtandao wa Beforward ni bei kubwa kuliko SBT kwanini?
Hawa wote wananunua magari kwenye auction, sasa hizi gari huwa katika grade tofauti kuna 5,4,3.5,3 na R(repaired) sasa unaweza kuta kari aina moja mileage sawa ila moja lilinunuliwa kwenye mnada likiwa grade 5 na moja likiwa grade R( unaweza kuta liligongwa likakarabatiwa sema kwasababu gereji zao ni high quality na wanatumia genuine spare parts sio rahisi kugundua labda wakupe auction sheet) sasa wakati wa kuuza lazima bei iwe tofautiPicha ya Kwanza ni gari inauzwa BF, picha ya pili na ya tatu ni gari iloilo linauzwa BST ila bei yake iko chini tofauti na BF!
Inachukua muda gani gari kufika Dar toka ulipie.Nimenunua magari zaidi ya manne kupitia Beforward,mko vizuri sana
Miezi miwili mkuuInachukua muda gani gari kufika Dar toka ulipie.
Mimi nilishakuta gari ni moja hilo hilo(VIN zilikua ni the same) likiuzwa be forward,trade car view na Sbt na tofaut ya bei ikiwa karibu $800.Hawa wote wananunua magari kwenye auction, sasa hizi gari huwa katika grade tofauti kuna 5,4,3.5,3 na R(repaired) sasa unaweza kuta kari aina moja mileage sawa ila moja lilinunuliwa kwenye mnada likiwa grade 5 na moja likiwa grade R( unaweza kuta liligongwa likakarabatiwa sema kwasababu gereji zao ni high quality na wanatumia genuine spare parts sio rahisi kugundua labda wakupe auction sheet) sasa wakati wa kuuza lazima bei iwe tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
BMW X5 kati ya SBT na Be forward nimekuta utofauti wa 5000$Mimi nilishakuta gari ni moja hilo hilo(VIN zilikua ni the same) likiuzwa be forward,trade car view na Sbt na tofaut ya bei ikiwa karibu $800.
Sent using Jamii Forums mobile app
In terms of quality based on my experience-Trust Japan can beat the rest!! Ingawa binafsi nilishindwa kawatumia kutokana na mfuko wangu mdogo.Be forward magari yao kwa ubora siyo kiivyo,na wala haiwezi kuwa my first selection-kiufupi kupata gari premium Kwao ni changamoto.
Sbt Ina magari mengi kuliko befoward,therefore ukitaka gari nzuri Kwao chagua miongoni mwa yenye bei kubwa-mengi yao ni premium na ni mazuri.
Trade car view-Hapa no value for money!magari yanakuwa overrated sana bei kuliko uhalisia ingawa Wana magari mazuri.
Japanese car motors ( Trust Japan ) ,Hawa jamaa Wana magari mazuri mnoo ingawa machache,magari yao ni premium cars (recommended),Tatizo lipo tu kwenye bei,ila ukinunua Kwao usitegemee gari kuja na matatizo yoyote.
Enhance-Nao naona wana magari yenye bei na quality.
*Sio kila mtu anayeelezea experience yake na befoward lazima awe sbt,hii ni mentality ya kizamani;sehemu kubwa katika huduma endelevu ni customer experience feedback.
*Tume makini sana kwenye kutumia dealers wa hapa Tanzania,wengi Wana cheat vitu vingi mnooo ikiwemo kubadilisha mileage nk.
*Dealers wengi huagiza magari yao Enhance motors,hvyo kuliko kupitia Kwa dealer Bora uwasiliane na enhance Japan wenyewe au ofisi zao utapata uhakika wa ubora.
*Usikubali kuagiziwa gari na dealer kupitia sbt au be forward nk.;nenda physically ofisi za befoward au sbt nk kwenye mkoa wako husika wakufanyie hzo taratibu.
Hizo gari hapo.
Hizo gari hapo.
Kila kitu kinafanana.
Ila utofauti wa bei mpaka $4000.View attachment 1304591View attachment 1304592
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwenye ishu za magari bado huelewi mambo mengi sana jitahidi kujifunzaHizo gari hapo.
Kila kitu kinafanana.
Ila utofauti wa bei mpaka $4000.View attachment 1304591View attachment 1304592
Sent using Jamii Forums mobile app