Du mkuu mbona uko kinyumenyume Sana?Picha ya Kwanza ni gari inauzwa BF, picha ya pili na ya tatu ni gari iloilo linauzwa BST ila bei yake iko chini tofauti na BF!
Same chasis number.Hazifanani maana hizi gari ni used hivi kwa akili ndogo zinaweza kuwa na uchakavu unaofanana? Pia kuna makampuni yanafanya inspection and services before resale hivyo gharama huongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka argument yako sawa,kwenye hz picha ulizotuma hujaonyesha chasis number ambazo zinafanana on both websites to be fair;Copy hyo chasis number hapa pamoja na hzo website zinazoonyesha hizo price for confirmation otherwise ili kuweka mambo sawa.Hvyo ndivyo counter argument inavyopaswa kwenda
Hivi kaka kwenye website ya beforward kwa mfano nikanunua gari kutoka dubai au kutoka USA au kutoka UK gharama zake zinakuwa ni sawa na kununua gari Japan?
Nadhani wao ndo wanajua jinsi watakufikishia gari yako.Hivi kaka kwenye website ya beforward kwa mfano nikanunua gari kutoka dubai au kutoka USA au kutoka UK gharama zake zinakuwa ni sawa na kununua gari Japan?
Nlikuwa nafanya comparison ya honda crosroad 1790cc kwenu na makampuni mengine bei zenu zipo juu ya mara mbili. Na zimepata hivi karibuni maana nimeagiza crossroad 2 za marsfiki zangu, kwa 14milHabarini wakuu?
Kwa kufahamu kwamba baadhi ya wateja wetu wamekua na majukumu mengi jambo linalosababisha kukosa mda wa kutosha kupata msaada wa karibu katika hatua za kuagiza gari, na kwa kudhamiria kukupatia huduma iliyo bora zaidi sasa tuko tayari kukufata mahali popote ulipo ili kukupatia msaada wa kuweza kuagiza gari yako kupitia kampuni yetu ya Be Forward.
NB:
Huduma hii ni kwa wale wanaoishi au wenye uwezo wa kufika Jijini Dar es Salaam
Kwa mawasiliano zaidi piga +255746267740 mda wowote