Bega linauma, lakini nikikojoa linatulia

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Yaani kuna kitu kinapekecha hasa niamkapo asubuhi ndo balaa.

Cha ajabu ni kwamba niamkapo asubuhi nikiwa nimebanwa sana na mkojo ndio bega linauma ile mbaya, nikienda kukojoa linaachia pole pole, lakini sio kwamba maumivu yanaisha, laa hasha, yanapungua.

Kitu kingine kinachopunguza maumivu ni wakati wa kwenda haja kubwa na pia kupunguza upepo tumboni.

Nisaidieni mwenzenu
 
pole sana! mimi pia huwa naumwa na bega la kushoto kwa ndani kama nikitembea umbali mrefu au nikibeba mzigo sijui tatizo ni nini..
 
Una tatizo kama langu ila mimi sio begani
 
Tungejua sababu ya mkojo kubana sehemu ina uma ingekuwa vizuri
 
Hapo kwenye BatteryLow ndipo tatizo lilipo anzia
 
Last edited by a moderator:

Pole mkuu inatakiwa uingiziwe bomba ili hewa yote itoke.
 
Niliju kitakachofuata tubadilike wana jf,mtu anaeleza tatizo kwa kujua wingi wa jamii hii elevu alafu mnaleta mchezo!

Vipi mbona unaogopa bomba kiongozi? Jamaa ana hewa nyingi ndani akinya anatoa hewa na kupona kidogo sasa kwanini asipate bomba ili hewa yote itoke?
 
Nendeni hospitali, hiyo ni referred pain.matatizo ya viungo vya ndani ya tumbo huwa yaweza kufanta maumivu yakaanishwa sehenu mbali mbali za mwili. Gallbladder huwa nyuma ya bega mara nyingi na moyo huwa juu ya bega au bega hadi kuelekea kwenye mkono. Fanyeni muende hospitali mkapate matibabu mapema. Msiuchune hali itakua mbaya zaidi.

Cc BatteryLow
lucz
Eshy m.s
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mimi nilikuwa kama hiyo ila mimi haikuwa kwa bega ilikuwa upande wa kulia wa shingo nilienda hospital niliambiwa ni ulcers. Sasa hivi ulcers zimepona na hilo tatizo limeisha. Nenda hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…