BatteryLow
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 446
- 149
Yaani kuna kitu kinapekecha hasa niamkapo asubuhi ndo balaa.
Cha ajabu ni kwamba niamkapo asubuhi nikiwa nimebanwa sana na mkojo ndio bega linauma ile mbaya, nikienda kukojoa linaachia pole pole, lakini sio kwamba maumivu yanaisha, laa hasha, yanapungua.
Kitu kingine kinachopunguza maumivu ni wakati wa kwenda haja kubwa na pia kupunguza upepo tumboni.
Nisaidieni mwenzenu