Bega na ubavuni panauma kwa kushirikiana

Bega na ubavuni panauma kwa kushirikiana

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
jamani bega na seheme ya mbavu vinauma mno, ajabu haya maumivu yanaonekana ni kitu kimoja na sasa sielewi sijui nimeumia bega au mbavu. msaada jamani
 
Unafanyaga mazoezi ya viungo,!?

nilifanyaga zile push up za kuweka miguu juu ya kitu mfano sturi, baada ya mwili kukataa nikaacha, sasa hili tatizo la kuuma mbavu na bega likaniganda kwa wiki mbili hivi baadae likawa kama kimeisha, nimekaa kwa muda mrefu sasa limeanza tena na safari hii mabega yote mawili ila mbavu ni ya kushoto tu, wakati mara ya kwanza ilikuwa bega na mbavu ya kushoto tu.
 
nina siku nne hivi ingawa nilishawahi kuumwa hivyo mwezi january ila maumivu yaliisha na sasa yameanza upya
nenda kwa dkt mkuu, na ujaribu mazoezi ya kujinyoosha sehemu husika,
 
Tafuta dawa zile za kuchua labda..ikishindikana kaone wataalamu
 
Back
Top Bottom